Sunday, 15 November 2015

Msanii Rapa Dee amuonya Khaligraph Jones kwa kile anachodai eti ni mbwembwe za kitoto.
Akizungumza na Big Fm,Rapa Dee alinukuliwa kwa kusema,"Khali is a good club bouncer but not king
of rapgame"
Rapa Dee ambaye sasa hivi amechaguliwa kwenye tuzo za HiPipo Awards kama rapper aliye na miondoko ya kasi mno.www.facebook.com/apostlerapa