Habari Za Wasanii na Burudani
Kile kipindi bora kabisaa cha burudani
ambacho kilikuwa kikiruka kila siku ya
Jumamosi kuanzia saa Nne kamili asubuhi
mpka saa sita mchana, Jumamosi hii kinafikia
tamati na hakitosikika tena Jumamosi, akipiga
stori na Power Jams ya East Africa Radio
wa kipindi hicho Dullah alimaarufu kama
Mjukuu amesema kuwa yeye amekua
mtangazaji wa kipindi hicho huu mwaka wa
saba lakini anasikitika kuachana na kipindi
hicho, sababu anatambua kuwa vijana wengi
walikuwa wakikifuatilia na kukisikiliza ila hana
namna zaidi ya kuwaaga.
No comments:
Post a Comment